HabariMilele FmSwahili

SRC yapongezwa kwa hatua yake ya kupunguza mishahara ya watumishi wa umma

Tume ya mishahara SRC imeendelea kupongezwa kwa hatua yake ya kupunguza mishahara ya watumishi wa umma waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjuri, gavana wa Kwale Salim Mvurya na mwakilishi kina mama Zeinab Chidzuga wamesema hatua hiyo itawezesha serikali kuu kutenga fedha zaidi kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Wakizungumza katika kaunti ya Kwale viongozi hao pia wamesema hatua hiyo itaiwezesha serikali kumudu gharama ya kulipa mishahara ya watumishi wa umma

Show More

Related Articles