HabariMilele FmSwahili

Gavana Malombe aunga mkono ratiba ya mishahara iliyotangazwa na SRC

Gavana wa Kitui Dkt Julius Malombe ameunga mkono ratiba ya mishahara ya watumishi wa umma iliyotangazwa na tume ya SRC  Malombe ameitaka serikali ya kitaifa kutumia shilingi bilioni nane ambazo zitatokana na hatua ya kupunguza mishahara katika kutekeleza miradi itakaofaidi wananchi. Kauli yake imeungwa mkono na mbunge wa Makueni Daniel maanzo, mwenzake wa Yatta Francis Mwangangi na seneta wa Makueni Mutula Kilonzo Junior.

Show More

Related Articles