HabariMilele FmSwahili

NASA kupeleka kampeini zake kaunti ya Baringo

Muungano wa NASA utakita kambi leo katika kaunti ya Baringo kumtafutia uungwaji mkono mgombea wao wa urais Raila Odinga. Vigogo wa NASA wanaelekea Baringo siku moja baada ya kuzuru Manderra ambako waliwarai wakazi kuunga mkono azma yao ya kubandua serikali ya Jubilee mamlakani.

Show More

Related Articles