HabariMilele FmSwahili

Ekuro Aukot aitaka IEBC kuweka wazi mfumo utakao tumika katika uchaguzi

Baaadhi ya wagombea wa urais wanashinikiza IEBC kuweka wazi endapo mifumo yake itakayotumiwa kwenye uchaguzi mkuu ujao itasaidia kuzuia visa vya udanganyifu. Mgombea urais wa Third way alliance Ekuru Aukot amesisitiza haja ya uchaguzi kuandaliwa kwa uwazi. Pia amemtaka mwenyekiti wa IEBC kuhakikisha taifa wana fedha za kutosha kusimamia uchaguzi huo ikiwemo miundo msingi iliyowekwa kwa ajili ya kuhakikisha hakuna upungufu wowote wa vifaa vya kupigia kura.

Show More

Related Articles