HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kupeleka kampeini zake eneo la Nyanza

Rais Kenyatta leo anazuru eneo la Nyanza  kuendeleza kampeni yake  kusaka kura kura. Ziara ya rais itaanzia katika kaunti ya Homabay ambako atazindua daraja la Mbita kabla ya kuhutubia wakazi. Kamishna wa kaunti ya Homabay Kasim Farah amedhibitisha kuwa maandalizi yamekamilika kwa ziara ya rais huku akiwataka wakazi kujitokeza kwa wingi kumpokea. Kando na Homabay rais Kenyatta anatarajiwa kuzuru kaunti ya Kisumu ambako ameratibiwa kuzindua ujenzi wa kugema pombe kitakachogharimu shilingi bilioni 15.

Show More

Related Articles