HabariMilele FmSwahili

Wizara ya ugatuzi kuzindua mpango maalum kuhusu data za kaunti

Wizara ya ugatuzi kwa ushirikiana na tume ya ugavi wa mapato CRA inatarajiwa kuzindua mpango maalum kuhusu data za kaunti. Mpango huo utawezesha wakenya kupata taarifa muhimu zinazohusu ugatuzi nchini, na haswa kuhusu wanaohitaji usaidia kupitia hjazina ya usawazishai wa maeneo. Mpango huo unazinduliwa katika kaunti tano ikiwemo Nairobi, Wajir, kwale, Migori na Nyeri.

Show More

Related Articles