HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Mkaazi wa Kisii anayegaagaa kwa kukusanya plastiki

Karatasi za plastiki huenda zisitumike hivi karibuni.
Lakini kuna vijana wengi ambao hupata riziki kupitia kazi hii.
Kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii,Kimani Githuku anamwangazia jamaa mmoja Machachari kutoka Kisii anayeifanya kazi hii,na ambayo humpa riziki yake ya kila siku.

Show More

Related Articles