Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vinara wa NASA wapeleka kampeni kaskazini kujaribu kuwanasa wenyeji

Muungano wa upinzani NASA umetua katika kaunti ya Mandera ambapo wana NASA wameendeleza kampeni za kujipigia debe kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Hata hivyo hii kinara wa muungnao huo Raila Odinga hakuhudhuria.
Muungano huo umesistiza kuwa utamaliza mauaji ya kiholela ambayo yamekuwa yakishuhudiwa maeneo tofauti ya kaskazini ya nchi.

Show More

Related Articles