HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Biwott alikuwa na usemi mkubwa katika serikali ya Moi

Wengi walimfahamu kama “Total Man”, jina ambalo hata kwa wanalolitumia hawawezi kuelezea maana yake na ni kwa nini Nicholas Biwot alikuwa akijulikana kwa jina hilo.
Lakini je, huyu ‘Total Man’ ni nani na alikuwa mtu wa aina gani katika maisha yake.
Mwanahabari wetu Gordon Odhiambo anaangazia maisha ya Total Man hadi kifo chake.

Show More

Related Articles