HabariMilele FmSwahili

NASA yajitenga na madai ya kusambaratisha uchaguzi

Muungano wa NASA umejitenga na madai ya kusambaratisha uchaguzi. Mgombea wa NASA Raila Odinga amewatuhumu wapinzani wao kwa kueneza propaganda wakisema lengo lao ni kuwa na uchaguzi huru na haki. Wamesema hawatasita kuelekea mahakamani kushinikiza IEBC kufuata sheria iwapo watahisi kuna haja ya kufanya hivyo .

Show More

Related Articles