HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Waziri wa zamani afariki hospitalini Nairobi akiwa na miaka 77

Waziri wa zamani aliyekuwa na ushawishi mkubwa Nicholas Kipyator Biwott amefariki katika hospitali ya Nairobi, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Biwott alifariki wakati akipokea matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuzirai nyumbani kwake katika mtaa wa Kileleshwa Nairobi. viongozi tofauti na wakenya kwa jumla wametuma risala zao wakimkumbuka Biwott.
Dan Kaburu anatufungulia jamvi la K24 saa moja kwa taraifa hiyo.

Show More

Related Articles