HabariMilele FmSwahili

Spika Justin Muturi aishtumu idara ya mahakama

Idara ya makahama inazidi kujipata kwenye njia pande huku spika wa bunge la taifa Justine Muturi akiishtumu kwa maamuzi yake anayosema yanatishia kusambaratisha uchaguzi. Muturi anasema lazima idara hiyo ikome kufanya kazi na upinzani. Naye mawaziri wa maji Eugine Wamalwa na Mwangi Kiunjuri wa ugatuzi wameitaka mahakama kuelezea taifa msimamo wake kuhusu hatima ya uchaguzi mkuu.

Show More

Related Articles