HabariMilele FmSwahili

Nicholas Biwott aaga dunia

Nicholas Kipyator Biwott maarufu Total man amefariki. Biwott amefariki katika hosipitali ya Nairobi alikokuwa amelazwa. Msemaji wa familia yake William Chepkut amethibitisha kifo hicho. Mwili wa Biwott sasa unahifadhi katika chumba cha Lee. Biwott aliyeaga akiwa na miaka 77 amehudumu kama waziri katika serikali za rais Jomo Kenyatta, Daniel Moi na Mwai Kibaki.

Show More

Related Articles