HabariMilele FmSwahili

Wakongwe kaunti ya Bungoma kupokea fedha za kujikimu

Zaidi ya wakongwe 500 wenye miaka 70 katika kaunti ya Bungoma sasa watapokea fedha za kujikiku kimaisha kutoka serikali kuu. Akizindua mpango huo waziri wa maji Eugene Wamalwa amesema wakongwe wote kaunti hiyo watasajiliwa ili kupokea msaada huyo kila mwezi. Naye mbunge wa Sirisia John Walike amewataka wakazi wa Bungoma kuunga mkono Jubilee kumwezesha rais Kenyatta kutekeleza miradi zaidi ya maendeleo.

Show More

Related Articles