HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta aunga mkono kupunguzwa kwa mishahara ya watumishi wa umma

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono kupunguzwa kwa mishahara ya watumishi wa umma. Rais amesema hatua ya kupunguza iliyotangazwa jana itapelekea taifa kuweza kumudu gharama ya juu ya kulipa mishahara. Pia amesema shilingi bilioni nane zitakazookolewa kutokana na hatua hizi zitatumika katima miradi ya ujenzi wa miundi msingi muhimu nchini. Amewataka maafisa wakuu serikalini pamoja na wanasiasa kuunga mkono

Show More

Related Articles