HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta azuru makaazi ya marehemu Nkaiserry

Rais Uhuru Kenyatta hivi sasa anazuru makazi ya marehemu waziri wa zamani wa usalama Joseph Nkaisery. Uhuru amewasili katika makazi hayo mtaani Karen kufariji familia ya marehemu. Hayo yanajiri huku maandalizi ya mazishi ya Nkaisery mnamo Jumamosi hii yakiendelea. Baadaye rais ataelekea kaunti ya Narok kwa ziara ya kusaka kura uchaguzi mkuu ukikaribia. Pia ameratibiwa kuzuru kaunti ya Kisumu kesho ambapo atazindua miradi kadhaa ya maendeleo

Show More

Related Articles