HabariMilele FmSwahili

Mwangi Kiunjuri adai wanyakuzi wa ardhi Pwani ndio wafadhili wa kampeini za NASA

Waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjiri sasa anadai wanyakuzi wa ardhi katika eneo la Pwani ni miongoni mwa wafadhili wakuu wa kampeni ya muaniaji urais wa muungano wa NASA Raila Odinga. Akizungumza Matuga kaunti ya Kwale Kiunjuri amedai Raila hawezi kutatua swala la ardhi Pwani kutokana na uhusiano wake na wanyakuzi hao. Aidha amemsuta Raila kwa kukashifu juhudi za serikali ya Jubilee kutatua swala hilo kupitia kuwakabidhi wenyeji hati miliki za mashamba.

Show More

Related Articles