HabariMilele FmSwahili

NASA kupeleka kampeini zake kaunti ya Mandera

Muungano wa NASA leo unatarajiwa kuendelea na kampeni ya kutafuta uungwaji mkono katika kaunti ya Mandera. Hii ni baada ya muungano huo kusitisha kampeni zake jana ili kuhudhuria kikao na IEBC. Afisa mkuu mtendaji wa NASA Norman Magaya amedhibitisha kuwa kinara Raila Odinga ataongoza ziara hiyo baada ya kupata afueni kutokana na matatizo ya tumbo.

Show More

Related Articles