HabariMilele FmSwahili

Mahakama yajipata katika njia panda

Idara ya mahakama inazidi kujipata kwenye njia panda baada ya uamuzi wake kuhusiana na kandarasi ya uchapishaji kura ya urais. Naibu wa rais William Ruto sasa anamtaka jaji mkuu David Maraga kuangazia uhusiano wa jaji George Odunga na seneta wa Siaya James orengo na kisha kutathmini upya uamuzi wa kufutiliwa mbali kandarasi ya Al ghurair. Orengo amekiri uhusiano huo ila kulingana naye hakushawishi uamuzi wa jopo la majaji 3.

Show More

Related Articles