HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Marwa asema mauaji ya Lamu Jumamosi yalikuwa ya kisiasa

Mshirikishi wa serikali eneo la Pwani Nelson Marwa amesema kuwa mashambulizi ambayo yalifanyika katika eneo la Pandanguo na Jima katika kaunti ya Lamu yana uhusiano na siasa ambazo zimekuwa zikiendeshwa maeneo hayo.
Marwa amesema serikali imekuwa ikifanya uchunguzi kwa muda sasa kuhusiana na mashambulizi hayo.

Show More

Related Articles