Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

IEBC yakutana na wagombea urais na wawakilishi wao

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kwa sasa italazimika kusaka mbinu mbadala kuhusiana na suala zima la uchapishaji wa karatasi za kura zinazofaa kutumika kwa uchaguzi mkuu ujao kwa wadhifa wa urais.
Mkutano ulioitishwa na IEBC baina ya makamishna wake na wagombeaji wa urais ulitibuka bila kupatikana kwa suluhu.

Show More

Related Articles