Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Jubilee yadai Jaji Odunga ana uhusiano na Seneta Orengo

Suala la uhuru wa mahakama humu nchini kwa mara nyingine limezua mjadala miongoni mwa wanasiasa na wananchi.
Ni mjadala ulioibuka kufuatia uamuzi wa Ijumaa iliyopita ambapo jopo la majaji watatu lilifutilia mbali kandarasi ya kampuni ya Al-ghurair ya kuchapisha karatasi za kura ya urais kwa kutowashirikisha wananchi.
Hii leo viongozi wa chama cha Jubilee wamejitoa kimasomaso na kudai kwamba jaji George Odunga ana uhusiano wa kiukoo na wakili wa muungano wa NASA James Orengo.

Show More

Related Articles