Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta,Ruto waelekeza zaidi makali yao kwa korti

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto hii leo wameendeleza mashambulizi makali dhidi ya idara ya mahakama na tume huru ya uchaguzi na mipaka kuwajibika ipasavyo, na kuhakikisha uchaguzi umefanyika Agosti nane.
Wakizungumza wakati wa kampeini za uchaguzi katika kaunti ya Turkana, Kenyatta na Ruto wamesema hawatakubali mahakama kuhujumu taasisi huru kama vile IEBC kutekeleza majukumu yao ya kikatiba,na ni sharti waeleze u wapi uhuru wa idara hiyo.
Kiama Kariuki yuko kaunti ya Turkana na anatuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles