HabariMilele FmSwahili

NASA yawasilisha kesi kuitaka IEBC kutumia njia ya elektroniki pekee katika uchaguzi

Mrengo wa NASA umewasilisha kesi mahakamani kuhusu uchaguzi mkuu ikitaka IEBC kutumia njia ya elekroniki pekee. Mrengo huo unasema hauna imani na mfumo utakaotumika iwapo ule wa elecktroniki utafeli. Jaji mkuu David Maraga sasa  anatarajiwa kubuni jopo la majaji 3 watakaosikiza kesi hiyo. Akiongea wakati wa mkao na IEBC wakili wa mrengo wa NASA seneta James Orengo ametetea hatua ya mrengo huo kuelekea mahakamani kuhusu masuala tofauti yanayofungamana na uchaguzi akisema ni taasisi iliyobuniwa kuwahudumia wakenya.

Show More

Related Articles