HabariMilele FmSwahili

Mlo wa samaki ndio uliosababisha Raila Odinga kukimbizwa hospitali jana

Mlo wa samaki ndio uliosababisha mgombea urais wa NASA Raila Odinga kukimbizwa hospitali hiyo jana. Mshauri wake  Raila Salim Lone anasema daktari wake Oluoch Olunya amebaini athari za  chakula hicho zilipungua baada yake kutapika na kuongezewa maji mwilini. Hata hivyo Lone anasema mgombea huyo wa NASA yu buheri wa afya na anaendelea na kampeni.

Show More

Related Articles