HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Imewakamata Wanaosambaza Jumbe Za Chuki Likoni.

Serikali imefanikiwa kuwatia mbaroni vijana wanaoaminika kusambaza vikaratasi vya vya jumbe za chuki katika eneo bunge la likoni kaunti ya Mombasa Alithibitisha kukamatwa vijana  hao mshirikishi wa serikali kuu kanda ya pwani Nelson Marwa amesema vijana hao wako mikononi mwa polisi na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wengine wanaosambaza jumbe hizo za chuki
wakati huohuo marwa amesema serikali inawasaka vijana wawili ambao wanahusika na uhalifu huo wakusambaza vijikaratasi vya chuki eneo hilo

Ni wiki iliopita tu ambaoo wakaazi wa Likoni walipoamkia vikaratasi vya jumbe za chuki lakini sasa serikali imewatia mbaroni baadhi ya washukiwa wa kitendo hicho.

Show More

Related Articles