HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta na naibu wake waahidi miradi zaidi ya maendeleo Turkana

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameahidi miradi zaidi ya maendeleo katika eneo la Turkana iwapo watachaguliwa kwa muhula wa pili. Katika mkutano wa hadhara huko Kakuma wawili hao aidha wanasema watahakikisha wanaoishi eneo hilo kama wakimbizi wanapokezwa fidia.Aidha wameendela kuista upinzani kwa kuwahadaa wenyeji wa eneo hilo kuhusiana na miradi ya serikali.

Show More

Related Articles