HabariMilele FmSwahili

Upasuaji wa mwili wa Nkaiserry unaendelea katika chumba cha maiti cha Lee

Shughuli ya upasuaji wa mwili wa marehemu jenerali Joseph Nkaissery unaendelea katika chumba cha maiti Lee Nairobi. Nkaissery alifariki usiku wa kuamkia Jumamosi huku serikali ikiwataka wananchi kuwa na subira uchunguzi kuhusu kifo chake ukiendelea. Wito sawa umetolewa na viongozi tofauti wa kisiasa wakitaka ripoti kamili ya uchunguzi huo kuwekwa wazi kwa umma.

Show More

Related Articles