HabariMilele FmSwahili

SRC kutangaza mpangilio mpya wa kulipa mishahara

Tume ya mishahara SRC leo inatangaza mpangilio mpya wa kulipa mishahara ya watumishi wa umma. Watumishi wa umma zaidi ya laki saba wataathirika na mabadiko haya. Miongoni mwao ni viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Agosti nane.

Show More

Related Articles