HabariMilele FmSwahili

KNUN kutoa tamko kuu kuhusiana na mgomo wa wauguzi

Muungano wa wauguzi KNUN unatarajiwa kutoa tamko kuu kuhusiana na mgomo wao ulioingia siku ya 35 leo. Wauguzi wanaogoma wameapa kutorejea kazini hadi serikali itekeleze mkataba wao. Aidha  naibu katibu  Maurice Opetu ameilaumu serikali kuu na baraza la magavana kudinda kutekeleza mkatabu huo.

Show More

Related Articles