HabariMilele FmSwahili

Mdahalo wa wagombea urais kufanyika tarehe 24 mwezi huu

Mdahalo wa wagombea urais ulioratibiwa kufanyika leo umeahirishwa hadi tarehe 24 mwezi huu. Kamati andalizi ya mdahalo huo imedhibitisha hatua hiyo kufuatia lalama zilizoibuliwa na wagombeaji kuhusu maandalizi yake. Mwenyekiti wa kamati hiyo Wachira Waruru amesema mashauriano yanaendelea na wawakilishi wa wawaniaji kuhusu maandalizi hayo.

Show More

Related Articles