HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta awahakikishia wakenya usalama wa kutosha

Wakenya wametakiwa kutokuwa na hofu ya usalama wao kufuatia kifo cha marehemu jenerali Joseph Nkaissery. Akiongea huko Baringo rais Uhuru Kenyatta  anasema wameimarisha usalama pembe zote za nchi. Rais  anasema watahakikisha wahalifu hawatachukua fursa ya wakati huu wa maombolezi ya Nkaissery kutekeleza visa vya uhalifu.

Show More

Related Articles