HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Joseph Nkaissery mchapa-kazi

Mwendazake Joseph Nkaiserry aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani atakumbukwa kama kiongozi aliyejitolea kwa kuwatumikia wakenya tangu enzi zake akiwa mwanajeshi na hata baada ya kuteuliwa kama Mbunge wa Kajiado Central na vilevile alipokuwa waziri wa usalama wa ndani..Mwanahabari wetu Kimani Githuku anatupa taarifa ya kisiasa ya marehemu na pia wizara ya usalama aliokuwa akiongoza hadi kufa kwake.

Show More

Related Articles