HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Viongozi wa upinzani, wale wa jamii ya maasai wamuomboleza Nkaissery

Wakenya kote nchini wanaendelea kuomboleza kifo cha ghafla cha waziri wa usalama wa ndani marehemu Joseph Kasaine Ole Nkaissery ambaye alipunga dunia mkono wa buriani muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya Karen.
Na viongozi wa kisiasa pia wamewaunga wakenya katika kuomboleza kifo chake Joseph Nkaissery.
Kinara wa NASA Raila Odinga pamoja na kinara mwenza Kalonzo Musyoka walisema watamkumbuka Nkaissery kama kiongozi wa kweli na kuongeza kwamba nchi ya Kenya imempoteza kiongozi shupavu.

Show More

Related Articles