HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri wa usalama Joseph Nkaiserry afariki ghafla katika hali ya kutatanisha

Waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery ameaga dunia usiku wa kuamkia Jumamosi katika hospitali ya Karen hapa Nairobi saa chache baada ya kuhudhuria hafla ya maombi katika bustani ya Uhuru.
Habari za kifo chake zimewaacha wengi kupigwa na butwaa huku maafisa wa ujasusi wakiendeleza uchunguzi kubaini kifo chake.

Show More

Related Articles