HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 9 wauawa kinyama katika shambulizi la Al Shabaab kisiwani Lamu

Watu tisa wameuawa kinyama usiku wa kuamkia Jumamosi na wanamgambo wa kundi la Al-shabaab katika kijiji cha Jima katika kaunti ya Lamu.
Inadaiwa magaidi hao waliokuwa wamejihami walivamia kijiji hicho na ghafla kutekeleza shambulizi hilo dhidi ya wenyeji.

Show More

Related Articles