HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta atuma rambirambi, amteua Fred Matiang’i kaimu Waziri wa usalama

Rais Uhuru Kenyatta amemteua waziri wa elimu daktari Fred Matiangi, kama kaimu waziri wa usalama. Uteuzi huo ni baada ya rais Uhuru Kenyatta, kutoa risala za rambi rambi kwa familia za mwendazake Nkaissery.
Rais alisononeka kuwa ni Ijumaa tu walikuwa na waziri mwendazake, nkaissery katika bustani ya uhuru, na saa kadhaa kupata habari hizo.

Show More

Related Articles