HabariMilele FmSwahili

Hali ya taharuki ingali inatanda kijiji cha jima , Lamu

Hali ya taharuki ingali imetanda katika kijiji cha Jima huko Lamu Magharibi baada ya watu tisa kuuwawa kinyama na wanamgambo wakundi la Al shabab usiku wa kuamkia leo. Kulingana na chifu wa eneo hilo tisa hao wlaikumbana na mauti yao baada ya kushambuliwa walipokua wamelala. Kwa sasa msako wa kuwasaka magaidi hao unaendelea.

Show More

Related Articles