HabariMilele FmSwahili

Hellen Nkaiserry aendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Nairobi

Mkewe waziri wa usalama wa kitaifa Joseph Nkaissery, Hellen Nkaissery anaendelea kupokea matibabu katika hosipitali ya Nairobi. Hellen Nkaissery ’mama’ kama alivyojulikana amepelekwa hosipitalini humo kutokana na mshtuko wa moyo kufuatia kifo cha ghafla cha mumewe. Mbunge wa Kajiado ya kati Memus Ole Kanchori amedhibitisha Bi.hellena anaendelea kupokea matibabu.

Show More

Related Articles