HabariMilele FmSwahili

Wazee wa umri zaidi ya 70 Tranzoia kupokea pesa za kujikimu

Ni afueni kwa wazee walio zidi umri wa miaka 70 Trans Nzoia baada ya serikali kuu kuanzisha kuwapa pesa zao za kujikimu kimaisha. Kwa mujibu wa viongozi wa eneo hilo, kuanza mpango huo kumewapa matumaini wakongwe eneo hilo. Wakiongozwa na mwakilishi akina mama Janet Nagabo na mbunge wa Endebess Robert Pukose wameahidi kuhakikisha uwazi katika zoezi hilo

Show More

Related Articles