HabariMilele FmSwahili

NASA yapeleka kampeini zake kaunti ya Kwale

Kinara wa upinzani Raila Odinga anatarajiwa wakati wowote sasa eneo la Ukunda kaunti Kwale kwa mkutano wa hadhara kuuza sera za upinzani kwa wenyeji. Awali Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka wameshiriki misururu ya mikutano na wakaazi wa eneo la Kinango.

Show More

Related Articles