HabariMilele FmSwahili

IEBC yaanza kufanyia majaribio vifaa vya BVR

Tume ya IEBC imeanza kufanyia majaribio vifaa vya BVR vitakavyotumiwa katika uchaguzi wa Agosti nane. Afisa wa mawasiliano wa IEBC Andrew Limo amesema vifaa hivyo vitafanyiwa majaribio sita tofauti ili kudhibitisha utendakazi wake. Amesema hii ni mojawapo ya njia IEBC inatumia kuhakikisha teknolojia inayotumika na IEBC  inawapa wakenya matokeo ya kuaminika.

Show More

Related Articles