HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta aliongoza taifa kuomboleza kifo cha Nkaiserry

Rais Uhuru Kenyatta ameliongoza taifa kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri wa usalama wa kitaifa meja jenerali mstaafu Joseph Ole Nkaissery. Katika hotuba yake kwa taifa,rais ametaja kifo cha Nkaissery kama pigo kubwa kwa usalama wa taifa hasaa wakati huu taifa linapojiandaa kwa uchaguzi. Hisia zake zikikaririwa na viongozi wa upinzani Raila Odinga,viongozi mbali mbali kutoka kajiado sawa na wakenya kupitia mitandao.

Show More

Related Articles