HabariMilele FmSwahili

Joseph Kinyua ndiye alidhibitisha kifo cha waziri Nkaiserry

Mkuu wa utumishi wa umma na katibu katika baraza la mawaziri Joseph Kinyua ndiye alidhibitisha kifo cha Nkaissery akisema alifariki muda mfupi tu baada ya kufikishwa katika hosipitali ya karen kwa uchunguzi wa kimatibabu. Japo kilichosababisha kifo chake hakikubainika mara moja,Kinyua amesema serikali itatoa taraifa zaidi kwa taifa baadaye.

Show More

Related Articles