HabariMilele FmSwahili

Mgomo wa wauguzi waendelea kote nchini

Katibu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako ameshikilia msimamo kuwa mgomo wa wauguzi utaendelea kote nchini, hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa.panyako amesuta wizara ya afya kwa kusalia kmya kuhusu mkabata wao akisema hatua hii inaashiria kwamba wamekosa kujali maslahi ya wauguziamemsuta hasa waziri wa afya Dkt Cleopa Mailu kwa kukosa kwuajibikka ipasavyo katika majukumu yake na kuchangia migomo ya wahudumu wa afya.

Show More

Related Articles