HabariMilele FmSwahili

Mkewe waziri Nkaiserry anapokea matibabu katika hospitali ya Nairobi

Mkewe waziri wa usalama wa kitaifa Joseph Nkaissery ambaye ameaga usiku wa kuamkia leo, Hellen Nkaissery anaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya Nairobi. Hellen Nkaissery’mama’ kama alivyojulikana amepelekwa hosipitalini humo muda mfupi uliopita badaa ya hali yake ya afya kuonekana kubadilika ghafla. Taarifa za mapema zinaeleza huenda amepatawa na mshtuko wa moyo kutokana na kile kinatajwa kutokana na kifo cha ghafla cha mumewe. Mbunge wa Kajiado ya kati Memus Ole Kanchori amedhibitisha Bi.Hellena anaendelea kupokea matibabu.

Show More

Related Articles