HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Msanii ametunga limbo uliotokana na matamshi ya Wavinya

Tafakari hili mtazamaji, kosa dogo la matamshi kugeuzwa kuwa mjadala wa kiataifa katika mitandao ya kijamii.
Ndivyo ilivyokuwa wiki chache zilizopita wakati mwaniaji wa kiti cha ugavana katika kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti alipokosea msemo usemao. ” Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo” na kusema,
“Yaliyo Ndwele Sipite”.
Wakati kivumbi cha mazungumzo kuhusu usemi wa Ndeti kilipokuwa kikitifuka katika mitandao ya kijamii, msanii mmoja anayefahamika kama “MC Njagi” aliona fursa ya kung’ara na kutunga wimbo “Yaliyo Ndwele Sipite”.
Shukri Wachu alipatana naye na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles