Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kenyatta ahudhuria maombi ya makanisa ya kievanjelisti

Rais Uhuru Kenyatta ameafiki kuwa uchagzi mkuu ujao utakuwa wa haki na kweli na amelihakikishia taifa la kenya kwamba amani itadumishwa sasa na hata baada ya uchaguzi wa Agosti tarehe nane.
Kwenye maombi ya kitaifa yaliyoandaliwa na muungano wa makanisa ya kievanjelisti, wawaniaji wa urais waliohudhuria wamesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa utangamano wa kitaifa wakati huu wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao.

Show More

Related Articles