HabariMilele FmSwahili

Mkutano wa viongozi wa nchi tajiri duniani G20 unaendelea Ujerumani

Mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi tajiri na zile zinazoinukia kiuchumi duniani za kundi la G20 unaendelea katika mji wa bandari wa Ujerumani Hamburg huku makabaliano kati ya polisi na waandamanaji yakishuhudiwa. Mkutano huo unazijadili agenda kadhaa ikiwemo ugadi, biashara ya dunia na mabadiliko ya tabia nchi miongoni mwa mengine. Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema anataraji kupata mwafaka na majibu kuhusu masuala kadhaa katika mkutano huo wa siku mbili.

Show More

Related Articles