Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vinara waandaa mambo kabla ya kuelekea uwanjani Kamukunji

Muungano wa NASA umefanya kampeini zake za kujipigia debe hapa Nairobi baada ya maombi katika jumba la Okoa Kenya.
Katika mkutano huo mgombea urais kwa tiketi ya NASA na ambaye ni kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, alichukuwa nafasi hio kumtawaza seneta wa Machakos Johnstone Muthama kama atakayeongoza kampeini za NASA Nairobi na vile vile kuwapigia debe wawaniaji wa nafasi mbali mbali hapa Nairobi kwa tiketi ya ODM.

Show More

Related Articles